Kikola

Kikola (pia Kimarlasi au Kiwarilau) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakola kwenye kisiwa cha Kola na vinginevyo vya Aru-Kaskazini. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikola imehesabiwa kuwa watu 7400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikola iko katika kundi la Kiaru.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search